Littérature / édition
RECUEIL DE POéSIE | 2002
Diwani ya Mloka
Charles Mloka
Edition : Mkuki na Nyota Publishers Ltd
Pays d'édition : Tanzanie
ISBN : 9987-686-44-3
Prix : 0.00
Parution : 01 2002
Français
Diwani ya Mloka ni mkusanyiko wa mashairi yanayozungumzia masuala mbalimbali ya kijamii na yanayomwandaa msomaji katika misingi bora ya kimaisha; kuchochea hamasa na juhudi za kuendeleza Kiswahili; na kuhifadhi mashairi yanayoakisi migogoro mbalimbali ya kisiasa kijamii na kiuchumi iliyokuwepo wakati wa utawala wa chama kimoja nchini Tanzania. "Hatua hii ya Mloka ni ya kufaa kuigwa...".
A collection of Swahili poems by Charles Mloka.
A collection of Swahili poems by Charles Mloka.
Partager :